Mt. 6:5 SUV

5 Tena msalipo, msiwe kama wanafiki; kwa maana wao wapenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao.

Kusoma sura kamili Mt. 6

Mtazamo Mt. 6:5 katika mazingira