Mt. 6:7 SUV

7 Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.

Kusoma sura kamili Mt. 6

Mtazamo Mt. 6:7 katika mazingira