Mt. 8:11 SUV

11 Nami nawaambieni, ya kwamba wengi watakuja kutoka mashariki na magharibi, nao wataketi pamoja na Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo katika ufalme wa mbinguni;

Kusoma sura kamili Mt. 8

Mtazamo Mt. 8:11 katika mazingira