Mt. 8:17

Swahili Union Version

17ili litimie lile neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema,Mwenyewe aliutwaa udhaifu wetu,Na kuyachukua magonjwa yetu.

Mt. 8:17 — SUV