Mt. 9:13 SUV

13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.

Kusoma sura kamili Mt. 9

Mtazamo Mt. 9:13 katika mazingira