Mt. 9:22 SUV

22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti yangu; imani yako imekuponya. Yule mwanamke akapona tangu saa ile.

Kusoma sura kamili Mt. 9

Mtazamo Mt. 9:22 katika mazingira