Mt. 9:35 SUV

35 Naye Yesu alikuwa akizunguka katika miji yote na vijiji, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri habari njema ya ufalme, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.

Kusoma sura kamili Mt. 9

Mtazamo Mt. 9:35 katika mazingira