Yak. 4:11 SUV

11 Ndugu, msisingiziane; amsingiziaye ndugu yake, au kumhukumu ndugu yake, huisingizia sheria na kuihukumu sheria. Lakini ukiihukumu sheria, huwi mtenda sheria, bali umekuwa hakimu.

Kusoma sura kamili Yak. 4

Mtazamo Yak. 4:11 katika mazingira