Yak. 4:12 SUV

12 Mtoa sheria na mwenye kuhukumu ni mmoja tu, ndiye awezaye kuokoa na kuangamiza. U nani wewe umhukumuye mtu mwingine?

Kusoma sura kamili Yak. 4

Mtazamo Yak. 4:12 katika mazingira