1 Fal. 20:30 SUV

30 Lakini waliosalia wakakimbia mpaka Afeki, mjini; na ukuta ukaanguka juu ya watu ishirini na saba elfu waliosalia. Ben-hadadi naye akakimbia, akaingia mjini, katika chumba cha ndani.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 20

Mtazamo 1 Fal. 20:30 katika mazingira