1 Fal. 20:33 SUV

33 Wale watu wakaangalia sana, wakafanya haraka kulishika neno hilo kama ni nia yake, wakasema, Ndugu yako, Ben-hadadi. Akasema, Haya! Nendeni mkamlete. Ndipo Ben-hadadi akamtokea, naye akampandisha garini.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 20

Mtazamo 1 Fal. 20:33 katika mazingira