1 Nya. 18:4 SUV

4 Daudi akampokonya magari elfu, na wapanda farasi saba elfu, na askari waendao kwa miguu ishirini elfu; Daudi akawakata mshipa farasi wote wa magari, ila wa magari mia akawaweka.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 18

Mtazamo 1 Nya. 18:4 katika mazingira