1 Nya. 22:1 SUV

1 Ndipo Daudi akasema, Hii ndiyo nyumba ya BWANA Mungu, na hii ndiyo madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa Israeli.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 22

Mtazamo 1 Nya. 22:1 katika mazingira