1 Nya. 25:1 SUV

1 Tena Daudi na maakida wa jeshi wakatenga kwa utumishi baadhi ya wana wa Asafu, na wa Hemani, na wa Yeduthuni, watakaotabiri kwa vinubi na vinanda, na matoazi; hii ndiyo hesabu ya wafanya kazi sawasawa na utumishi wao;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 25

Mtazamo 1 Nya. 25:1 katika mazingira