2 Nya. 1:1 SUV

1 Basi Sulemani, mwana wa Daudi, alithibitishwa katika ufalme wake, naye BWANA, Mungu wake, alikuwa pamoja naye, akamtukuza mno.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 1

Mtazamo 2 Nya. 1:1 katika mazingira