2 Nya. 1:12 SUV

12 basi hekima na maarifa umepewa; nami nitakupa mali, na utajiri, na utukufu, kupita walivyokuwa navyo wafalme wote waliokuwa kabla yako, wala baada yako hapatakuwa na mtu atakayekuwa navyo.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 1

Mtazamo 2 Nya. 1:12 katika mazingira