2 Nya. 1:3 SUV

3 Basi Sulemani akaenda mahali pa juu pa Gibeoni, na kusanyiko lote naye; kwani ndipo ilipokuwako hema ya kukutania ya Mungu, aliyoifanya Musa mtumishi wa BWANA jangwani.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 1

Mtazamo 2 Nya. 1:3 katika mazingira