2 Nya. 1:5 SUV

5 Tena madhabahu ya shaba, aliyoifanyiza Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, ilikuwako huko mbele ya maskani ya BWANA; Sulemani na kusanyiko wakaiendea.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 1

Mtazamo 2 Nya. 1:5 katika mazingira