2 Nya. 10:15 SUV

15 Basi mfalme hakuwasikia wale watu; maana jambo hili lilitoka kwa Mungu, ili alithibitishe neno lake alilomwambia Yeroboamu mwana wa Nebati kwa mkono wa Ahiya Mshiloni.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 10

Mtazamo 2 Nya. 10:15 katika mazingira