2 Nya. 10:18 SUV

18 Ndipo mfalme Rehoboamu akamtuma Adoramu, msimamizi wa shokoa; nao wana wa Israeli wakamtupia mawe, hata akafa. Mfalme Rehoboamu akafanya haraka kupanda garini mwake, ili akimbilie Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 10

Mtazamo 2 Nya. 10:18 katika mazingira