2 Nya. 11:1 SUV

1 Hata Rehoboamu alipofika Yerusalemu, akakusanya nyumba ya Yuda na Benyamini, watu wateule mia na themanini elfu waliokuwa hodari, watu wa vita, ili wapigane juu ya Israeli, ili wamrudishie Rehoboamu huo ufalme.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 11

Mtazamo 2 Nya. 11:1 katika mazingira