2 Nya. 11:12 SUV

12 Na ndani ya miji yote mmoja mmoja aliweka ngao na mikuki, akaifanya kuwa na nguvu nyingi mno. Yuda na Benyamini ikawa milki yake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 11

Mtazamo 2 Nya. 11:12 katika mazingira