2 Nya. 11:17 SUV

17 Hivyo wakaufanya imara kwa miaka mitatu ufalme wa Yuda, na kumtia nguvu Rehoboamu mwana wa Sulemani; kwa maana muda wa miaka mitatu wakaiendea njia ya Daudi na Sulemani.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 11

Mtazamo 2 Nya. 11:17 katika mazingira