2 Nya. 11:21 SUV

21 Rehoboamu akampenda Maaka binti Absalomu kuliko wakeze wote na masuria yake; (maana alioa wake kumi na wanane, na masuria sitini, akazaa wana ishirini na wanane na binti sitini).

Kusoma sura kamili 2 Nya. 11

Mtazamo 2 Nya. 11:21 katika mazingira