2 Nya. 11:23 SUV

23 Akafanya kwa akili, akawatawanya wanawe wote kati ya nchi zote za Yuda na Benyamini, katika kila mji wenye boma; akawapa vyakula tele. Akawatafutia wake wengi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 11

Mtazamo 2 Nya. 11:23 katika mazingira