2 Nya. 12:15 SUV

15 Basi mambo yake Rehoboamu, ya kwanza na ya mwisho, je! Hayakuandikwa katika tarehe za Shemaya nabii na Ido mwonaji, kwa jinsi ya kuandika nasaba? Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 12

Mtazamo 2 Nya. 12:15 katika mazingira