2 Nya. 12:7 SUV

7 Naye BWANA alipoona ya kwamba wamejinyenyekeza, neno la BWANA likamjia Shemaya, kusema, Wamejinyenyekeza; sitawaharibu; lakini nitawapa wokovu punde, wala ghadhabu yangu haitamwagika juu ya Yerusalemu kwa mkono wa Shishaki.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 12

Mtazamo 2 Nya. 12:7 katika mazingira