2 Nya. 12:9 SUV

9 Basi Shishaki, mfalme wa Misri, akapanda juu ya Yerusalemu, akazichukua hazina za nyumba ya BWANA, na hazina za nyumba ya mfalme; akazichukua zote. Akazichukua pia ngao za dhahabu alizozifanya Sulemani.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 12

Mtazamo 2 Nya. 12:9 katika mazingira