2 Nya. 13:15 SUV

15 Ndipo wakapiga kelele watu wa Yuda; ikawa, watu na Yuda walipopiga kelele, Mungu akampiga Yeroboamu na Israeli wote mbele ya Abiya na Yuda.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 13

Mtazamo 2 Nya. 13:15 katika mazingira