2 Nya. 14:1 SUV

1 Basi Abiya akalala na baba zake, wakamzika mjini mwa Daudi, akatawala Asa mwanawe mahali pake; katika siku zake nchi ikastarehe miaka kumi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 14

Mtazamo 2 Nya. 14:1 katika mazingira