2 Nya. 15:16 SUV

16 Hata na Maaka mamaye Asa, mfalme akamwondolea daraja yake asiwe malkia, kwa kuwa amefanya sanamu ya kuchukiza kwa Ashera; basi Asa akaikata sanamu yake, akaiponda, akaiteketeza penye kijito cha Kidroni.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 15

Mtazamo 2 Nya. 15:16 katika mazingira