2 Nya. 15:2 SUV

2 naye akatoka ili amlaki Asa, akamwambia, Nisikieni, Ee Asa, na Yuda wote na Benyamini; BWANA yu pamoja nanyi, mkiwa pamoja naye; nanyi mkimtafuta ataonekana kwenu; lakini mkimwacha atawaacha ninyi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 15

Mtazamo 2 Nya. 15:2 katika mazingira