2 Nya. 15:5 SUV

5 Hata na zamani zile hakukuwa na amani kwake atokaye, wala kwake aingiaye, ila fadhaa kubwa juu yao wote wakaao katika nchi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 15

Mtazamo 2 Nya. 15:5 katika mazingira