2 Nya. 15:9 SUV

9 Akakusanya Yuda wote na Benyamini, na hao wageni waliokaa kwao, wa Efraimu, na wa Manase, na wa Simeoni; kwa kuwa walimwangukia wengi katika Israeli, walipoona kwamba BWANA, Mungu wake, alikuwa pamoja naye.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 15

Mtazamo 2 Nya. 15:9 katika mazingira