2 Nya. 16:1 SUV

1 Katika mwaka wa thelathini na sita wa kutawala kwake Asa, Baasha mfalme wa Israeli akapanda juu ya Yuda, akaujenga Rama, ili asimwache mtu ye yote kutoka wala kuingia kwa Asa mfalme wa Yuda.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 16

Mtazamo 2 Nya. 16:1 katika mazingira