2 Nya. 16:14 SUV

14 Wakamzika katika makaburi yake mwenyewe, aliyojichimbia katika mji wa Daudi, wakamlaza juu ya kitanda kilichojazwa manukato, na kila namna ya machanganyiko ya hao mafundi wa dawa; wakamfukizia mafukizo makuu sana.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 16

Mtazamo 2 Nya. 16:14 katika mazingira