2 Nya. 16:3 SUV

3 Kwangu na kwako na liwe agano kama lilivyokuwa kwa baba yangu na baba yako; angalia, nimekuletea fedha na dhahabu; basi, uvunje agano lako na Baasha, mfalme wa Israeli, ili aniondokee mimi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 16

Mtazamo 2 Nya. 16:3 katika mazingira