11 Na baadhi ya Wafilisti walimletea Yehoshafati zawadi, na fedha ya kodi; Waarabu nao wakamletea makundi, kondoo waume saba elfu na mia saba, na mabeberu saba elfu na mia saba.
Kusoma sura kamili 2 Nya. 17
Mtazamo 2 Nya. 17:11 katika mazingira