2 Nya. 17:5 SUV

5 Kwa hiyo BWANA akauthibitisha ufalme mkononi mwake; Yehoshafati akaletewa zawadi na Yuda wote; basi akawa na mali na heshima tele.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 17

Mtazamo 2 Nya. 17:5 katika mazingira