2 Nya. 17:9 SUV

9 Wakafundisha katika Yuda, wenye kitabu cha torati ya BWANA; wakazunguka katika miji yote ya Yuda, wakafundisha kati ya watu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 17

Mtazamo 2 Nya. 17:9 katika mazingira