2 Nya. 18:10 SUV

10 Na Zedekia mwana wa Kenaana akajifanyia pembe za chuma, akasema, BWANA asema hivi, Kwa hizi utawasukuma Washami, hata watakapoangamia.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 18

Mtazamo 2 Nya. 18:10 katika mazingira