14 Na alipokuja kwa mfalme, mfalme akamwambia, Je! Mikaya, tuende Ramoth-gileadi vitani, au niache? Akasema, Kweeni, mkafanikiwe; nao watatiwa mikononi mwenu.
Kusoma sura kamili 2 Nya. 18
Mtazamo 2 Nya. 18:14 katika mazingira