2 Nya. 18:16 SUV

16 Akasema, Naliwaona Waisraeli wote wametawanyika milimani, kama kondoo wasio na mchungaji; BWANA akasema, Hawa hawana bwana; na warudi kila mtu nyumbani kwake kwa amani.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 18

Mtazamo 2 Nya. 18:16 katika mazingira