2 Nya. 18:21 SUV

21 Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo vinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka, ukafanye hivyo.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 18

Mtazamo 2 Nya. 18:21 katika mazingira