2 Nya. 18:23 SUV

23 Ndipo akakaribia Zedekia mwana wa Kenaana, akampiga Mikaya kofi la shavu, akasema, Alitokaje kwangu roho ya BWANA ili aseme na wewe?

Kusoma sura kamili 2 Nya. 18

Mtazamo 2 Nya. 18:23 katika mazingira