2 Nya. 18:5 SUV

5 Ndipo mfalme wa Israeli akawakusanya manabii, watu mia nne; akawaambia, Je! Tuende Ramoth-gileadi vitani, au niache? Wakasema, Kwea; kwa kuwa Mungu atautia mkononi mwa mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 18

Mtazamo 2 Nya. 18:5 katika mazingira