4 Na Yehoshafati akakaa Yerusalemu; akatoka tena kwenda kati ya watu toka Beer-sheba mpaka milima ya Efraimu, akawarudisha kwa BWANA, Mungu wa baba zao.
Kusoma sura kamili 2 Nya. 19
Mtazamo 2 Nya. 19:4 katika mazingira