8 Tena katika Yerusalemu Yehoshafati akasimamisha wa Walawi na makuhani, na wakuu wa mbari za mababa wa Israeli wawe kwa hukumu ya BWANA, na kwa mateto. Nao wakarudi Yerusalemu.
Kusoma sura kamili 2 Nya. 19
Mtazamo 2 Nya. 19:8 katika mazingira