10 Na tazama, nitawapa watumishi wako, wachongaji wakatao miti, kori ishirini elfu za ngano iliyopondwa, na kori ishirini elfu za shayiri, na bathi ishirini elfu za mvinyo na bathi ishirini elfu za mafuta.
Kusoma sura kamili 2 Nya. 2
Mtazamo 2 Nya. 2:10 katika mazingira