2 Nya. 2:17 SUV

17 Ndipo Sulemani akawahesabu wageni wote waliokuwamo katika nchi ya Israeli, sawasawa na hesabu aliyowahesabu Daudi baba yake; wakatokea mia hamsini na tatu elfu, na mia sita.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 2

Mtazamo 2 Nya. 2:17 katika mazingira